Kuhusu Ankaara
POS, mauzo, inventory na ankara kwa biashara zinazokua.
Lengo letu
Kuwapa wafanyabiashara mfumo rahisi wa kurekodi mauzo, kusimamia bidhaa na huduma, kutengeneza ankara na quotations, na kuelewa faida ya biashara bila mfumo mzito wa accounting.
Maono
Kuwa jukwaa rahisi la POS na usimamizi wa biashara linalotegemewa na maduka, watoa huduma na biashara ndogo na za kati barani Afrika.
Thamani zetu
Rahisi
Fomu fupi, vitendo vya haraka na taarifa zinazoeleweka kwa mtu yeyote anayeendesha biashara.
Kuaminika
Data yako ni ya siri na imara; tunajenga imani kwa usalama na uwazi.
Kwa Afrika
Imejengwa kwa mahitaji ya biashara za Kiafrika: mauzo ya kila siku, inventory, wateja na ripoti rahisi.
Timu yetu
Tunaongozwa na watu wenye uzoefu wa biashara na teknolojia. Tunafanya kazi karibu na wafanyabiashara ili kujenga zana zinazojibu kazi zao za kila siku.